Jumuiya ya Tor imeundwa na aina zote za wachangiaji. Baadhi ya watu huandika hati na ripoti za hitilafu, huku wengine huandaa matukio ya Tor na kufanya mawasiliano. Ikiwa una muda mwingi wa kujitolea au kidogo, na kama unajiona fundi au la, tunakubarisha ujiunge na jumuiya yetu pia. Hapa chini, utapata baadhi ya njia mbalimbali za kujitolea katika jumuiya ya Tor pamoja na nyenzo za kukusaidia vyema kusaidia Tor.
Je, unafundisha jumuiya yako kuhusu kutumia Tor? Rasilimali hizi ni kwa ajili yako.
Peleka nyenzo za Tor katika tukio lako linalofuata la jumuiya.
Onion services inakusaidia na kuwasaidia watumiaji wako kushindwa kufuatiliwa na kudhibitiwa, Jifunze jinsi unavyoweza kusambaza Onion services.
Tunataka Tor ifanye kazi kwa kila mmoja duniani, ikimaanisha programu yetu lazima itafrisiwe katika lunga nyingi.
We respect our users' privacy when we conduct research.
Rilei ni uti wa mgongo wa mtandao wa Tor. Saidia kufanya Tor iwe imara na kasi zaidi kw kuendesha rilei leo.
Mradi wa Tor umejitolea kukuza mazingira jumuishi na jamii. Tor ni mahali ambapo watu wanapaswa kujihisi salama kujihusisha, kushiriki maoni yao na kushiriki. SomaKanuni za Maadili yetu, Mkataba wa Kijamii, Maelezo ya maadili na ujifunze kuhusu Baraza la jamii la Tor.